Thursday, 27 August 2015

Wapendwa ndugu zangu,
My Beloved,

Ninamshukuru Mungu ambaye ametujalia uzima na kutupa vipawa mbalimbali. Ninapenda kuwajulisha rasmi kuwa hii ni blog yangu.
I thank God who awards us life and different gifts. I would like officially to inform you about my blog.

Kupitia blog hii nitawajulisha matukio mbalimbali ya kikanisa na pia mafundisho ya Neno la Mungu.
Through this blog I will share with you different church events and teaching the Word of God.

Ninawakaribisha sana,
Your warmly welcome

Mungu awabariki.
May God bless you.

1 comment:

Anonymous said...

UJUMBE WA LEO

ISAYA 41: 12

"Utawatafuta wala hutawaona wale wapiganao nawe; watakuwa si kitu; watakuwa kama kitu kisichokuwa, wale waliofanya vita juu yako."

Huu ni moja ya mistari katika Biblia inayonitia moyo sana na kunifanya nitembee kifua mbele juu ya Mungu niliye naye na uwezo wake juu ya adui zangu. Kila wakati sina hofu ninapomjua Mungu niliye naye na uwezo alio nao katika kuwazima adui zangu. "watakuwa kama si kitu; watakuwa kama kitu kisichokuwa..."

Usiogope, hata kama adui zako wana uwezo mkubwa kiasi gani, siku zote mtumaini Mungu asiyeshindwa, aliye juu ya yote na wote.

MUNGU AKUBARIKI